Fanya utafti wa kutosha kwa mtu aliyeko kule,ila alternative ni wewe kwenda na CV yako na pesa za kujikim kama dola elf 2, utafikia kwenye hotel.kaa kama wk moja, ndani ya wki hiyo sambaza CV yako kwa maofisi. kisha rudi zako bongo. ...
... sasa la msingi ni yeye kuendeleza ipaji sioni ubaya kwa mtoto kuvaa hivyo!! mbona hatusemi wanavyovaa wabongo kaa kama wakina lady jay dee na wengine kibao ray C sasa tatizo ni umri au tatizo ni nguo siwaelewi but mwacheni aendelee na fani yake ! .... Dally Estate? Upanga Two Bedroom Apartment, Pool, Gym, Parking - Bathrooms : 3 Bedrooms : 2 Location: Upanga, Dar-es-Salaam Living Area (Sqm): 140 Plot Size (Sqm): Asking Price: USD 1550 *contact;* Mr. David H.. ...
... one would have expected ni yeye kufungua gazeti lenye category ya RAG...surely what i expeced angefungua gazeti lenye calibre ya NewYork Times au Times of London lakini siyo gazeti lililo kaa kama National Enquirer if not Daily Star ...